JANUARI MAKAMBA AFUNGA KONGOMANO LA MFUMO WA UHAMAJI KUTOKA ANALOJIA KWENDA...
Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Januari Makamba akitoa hotuba yake wakati wa kufunga kongamano la siku tatu la uhamaji wa mfumo wa utangazaji kutoka Analojia kwenda Dijitali kwa...
View ArticlePOLISI SINGIDA WAKAMATA SHEHENA YA PEMBE ZA NDOVU
Jeshi la polisi mkoani SINGIDA limekamata vipande 21 vya meno ya Tembo vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 43.Nyara hizo za serikali zimekamatwa katika kijiji cha MWAMAGEMBE wilayania MANYONI...
View ArticleMAKAMU WA RAIS,DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA UWEKEZAJI KANDA YA ZIWA,JIJINI...
Mgeni Rasmi katika Kongamano la Uwekezaji Kanda ya Ziwa,Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohammed Gharib Bilal akitoa hotuba yake wakati wa Ufunguzi wa Kongamano...
View ArticleSUMAYE, LOWASSA, NGELEJA WAHOJIWA NA KAMATI YA MAADILI CCM; MAKAMBA, MEMBE NA...
Waziri Mkuu wa Zamani Ndugu Fredrick Sumaye akiwasili kwenye Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi Dodoma tayari kwa kuhojiwa na Kamati Ndogo ya Maadili. Waziri Mkuu Mstaafu Ndugu Edward Lowasa...
View ArticleUMMY MWALIMU AFUNGUA MAFUNZO YA SIKU MBILI KWA MADIWANI WANAWAKE KUTOKA...
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Ummy Mwalimu akizungumza wakati wa mafunzo ya siku mbili kwa madiwani wanawake kutoka halmashauri zote za jiji la Tanga.Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya Uongozi na...
View ArticleWASIRA, JANUARI MAKAMBA NAO WAKIINGIA KIKAANGONI CCM LEO
Waziri wa Nchi ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu) Ndugu Stephen Wassira akzungumza na waandishi wa habari baada ya kuhojiwa na kamati ya maadili ambapo alisema hakukuwa na tuhuma zozote zaidi ya...
View ArticleJHIKOMAN AWASHA MOTO SAUTI ZA BUSARA 2014
Na Andrew Chale, Zanzibar. MWANAMUZIKI nguli wa miondoko ya Afro rege, Jhikoman Manyika jana usiku Februari 13, aliwasha moto kwa kupiga shoo ya nguvu iliyodumu kwa lisaa limoja na...
View ArticleTWIGA STARS YAKUBALI KICHAPO CHA 2-1 ZAMBIA
Twiga Stars imepoteza mechi ya kwanza ya raundi ya kwanza kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Afrika kwa Wanawake (AWC) baada ya leo kufungwa mabao 2-1 na Zambia (Shepolopolo) kwenye Uwanja wa Nkoloma...
View ArticleKONGAMANO LA UWEKEZAJI KANDA YA ZIWA LAENDELEA LEO KWA SIKU YA PILI JIJINI...
Mwenyekiti wa Kongamano la Uwekezaji Kanda ya Ziwa,Mh. George Kahama (liesimama) akitoa muongozo wa namna vikao vitakavyokuwa vinaendelea kufanyika katika kumbi mbali mbali ndani ya Hoteli ya...
View ArticleMDAU ABDILAHI O.JUMA AOMBA MAOMBI YENU
Salam kwa Bloggers wenzangu kokote mliko Napenda kuchukua fursa hii kuwataarifu kuwa hivi karibuni nilipata ajali ambayo ilinipelekea kuvunjika kwa mfupa uliopo baina ya shingo. na bega hivyo...
View ArticleUWF kuandaa hafla ya family day machi 15 escape one jijini dar,wanawake...
Mchoro wa tuzo ya Mwanamakuka kama uonekanavyo pichani Kushoto ni Meneja wa Mradi wa Mwanamakuka ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kikundi cha Umoja wa Wanawake Marafi (Unit of Women Friends).Bi Maryam...
View ArticleCCM KUBAKIA NA MSIMAMO WA MFUMO WA SERIKALI MBILI
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari nje ya ukumbi wa NEC mjini Dodoma kuhusiana na msimamo wa chama hicho kubakia katika mfumo wa serikali mbili..
View ArticleOILCOM VS ALOSCO HAKUNA MBABE
Vijana machachari wa Oilcom wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuanza kwa mchezo wao dhidi ya Alosco na kutoka nao sare ya bao 2-2. Kikosi Kamili cha Alosco kikiwa katika picha ya pamoja kabla ya...
View ArticleREDIO ZA JAMII NCHINI ZIMETAKIWA KUWA MAKINI NA UANDAAJI WA VIPINDI PAMOJA NA...
alMwezeshaji wa warsha hiyo ambaye pia ni Mkufunzi wa Redio za Jamii kutoka Unesco, Mama Rose Haji Mwalimu, akitoa utambulisho kwa waendesha warsha ya namna ya kuandika habari za migogoro kutoka...
View ArticleUZINDUZI WA KAMPENI YA VIRUTUBISHI CHAKULA
Wanafunzi wakigawiwa vipeperushi vyenye maelezo ya virutubishi kutoka kwa waendesha kampeni wa mradi wa Usaid Tuboreshe Chakula katika kampeni inayoendelea wilayani Manyara Wanafunzi wa shule wakipata...
View ArticleCCM YAWAPA ONYO KALI SUMAYE, LOWASA, MEMBE, MAKAMBA, WASSIRA NA NGELEJA
Kati ya tarehe 13/02/2014 na tarehe 18/02/2014 kumekuwa na mfululizo wa vikao kadhaa vya Chama kitaifa vilivyoshughulikia suala la maadili ndani ya Chama.Vikao hivyo ni pamoja na Kamati Ndogo ya...
View ArticlePANDU AMIR KIFICHO ACHAGULIWA MWENYEKITI WA MUDA BUNGE LA KATIBA
Spika wa Bunge la Zanzibar, na Mbunge wa Bunge maalum la Katiba, Pandu Amir Kificho amechaguliowa kwa kura zaidi ya 300 kushika nafasi ya Uwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba jioni hii.
View ArticleMSAADA TOKA UINGEREZA KWA MAMA WA MAPACHA WANNE WA MBEYA
Misaada ya hali na mali imeanza kumiminika kwa ajili ya Aida Nakawala (25) mkaazi wa kijiji cha Chiwanda, Wilaya ya Momba, Mkoa wa Mbeya, ambaye alijifungua watoto wanne mapacha kwa mkupuo...
View ArticleWADAU WAOMBWA KUDHAMINI MAONYESHO YA KAZI ZA VIJANA WAJASIRIAMALI YATAYONYIKA...
Mkurugenzi wa Mtendaji wa Kampuni ya Aj It Development Bw Jackson Audiface akizungumzia kuhusu Maonyesho ya Tatu ya Kazi za Vijana wajasiriamali Yatakayofanyika Mkoani Dododma Mwezi Aprili mwaka...
View Article