WANAMUZIKI WATAKAOSHIRIKI TAMASHA LA PASAKA KUPIGIWA KURA NA MASHABIKI
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion, Alex Msama inayoandaa Tamasha la Pasaka akizungumzia maandalizi ya tamasha hilo ambapo amesema utaratibu wa kuwapata waimbaji katika tamasha hilo mwaka huu...
View ArticleBONGO MOVIE KUPEWA DARASA
Mwenyekiti wa Bongo Movie Steve Nyerere(kati) akifafanua jambo kuhusiana na Semina ya Wasanii Bongo Movie itakayofanyika Siku ya Ijumaa kwenye Ukumbi wa Vijana uliopo Kinondoni Dar es Salaam, kulia ni...
View ArticleUZIMAJI MITAMBO YA MFUMO WA UTANGAZAJI WA ANALOJIA AWAMU YA PILI
1.0 UTANGULIZIMamlaka ya Mawasiliano imepokea matokeo ya tathmini ya zoezi la uhamaji toka mfumo wa utangazaji wa analojia kwenda kidijiti. Zoezi hili lilifanyika kwenye miji saba kama ilivyotajwa...
View ArticleTHE LADIES WAKALI WA VITAFUNWA JIJINI DAR ES SALAAM
Ujasiriamali ni jambo lililojema miongoni mwa jamii. Watu wengi wamekuwa wakilalamika kukosa vitu vya kufanya ili kuweza kujipatia kipato na kuacha kuwa tegemezi kwa wazazi au waume na hata wakati...
View ArticleMATOKEO YA TATHMINI YA MCHAKATO WA UHAMAJI KUTOKA MFUMO WA UTANAGAZAJI WA...
1.0 UTANGULIZI Mnamo mwezi Julai, 2013, Serikali kupitia Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ilikamisheni jopo la wataalamu wa Chuo Kikuu kufanya tathmini ya mchakato mzima wa uhamaji toka...
View ArticleMAMA ASHA BILALI AFUNGUA TAMASHA LA MWANAKE NA AKIBA JIJI DAR ES SALAAM LEO
Mke wa Makamu wa Rais, Asha Bilali leo amefungua rasmi Tamasha la kwanza la Mwanamke na Akiba jijini Dar es Salaam leo. Tamssha hilo linalofanyika katika ukumbi wa Dar Live Mbagala litaambatana na...
View ArticlePSPF YATOA ELIMU YA MFUKO WAKE KWA WANAHABARI JIJINI DAR ES SALAAM LEO
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa PSPF, Adam Mayingu akizungumza na Waandishi wa habari pamoja na wadau wa mfuko huo katika semina ya siku moja kuhusu shughuli mbalimbali zinazofanywa na mfuko huo na fursa...
View ArticleTPB YACHANGIA KODI LA PANGO OFISI YA WATU WASIO SIKIA
Afisa Mawasiliano Msaidizi wa Benki ya Posta Tanzania, Chichi Banda akikabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi laki sita (600,000/=) kwa Chama cha watu wasio sikia, Charles Nchimbi huku...
View ArticleWATOTO MAPACHA WALIOTENGANISHWA NCHINI INDIA WAREJEA JIJINI DAR
Watoto mapacha kutoka wilayani Kyela mkoani Mbeya waliokuwa wamepelekwa na serikali chini ya Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kufanyiwa upasuaji mkubwa wa kuwatenganisha wakiwasili nchini Tanzania...
View ArticleCBE YATOA UFAFANUZI DHIDI YA TAARIFA POTOFU
Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Prof. Mjema akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam kuhusu habari za upotoshaji zilizoandikwa na gazeti moja la kila siku na baadhi ya...
View ArticleKampeni za lishe bora zafanyika babati vijijini leo
Mkuu wa Wilaya Babati Khalid Mandia kulia,akiwa na wataalamu wa lishe toka USAID Tuboreshe chakula,wakichanganya virutubishi kwenye uji wa mtoto uliotayarishwa tayari kwa watoto wadogo...
View ArticleMATOKEO KIDATO CHA NNE 2013 YATANGAZWA UFAULU KISWAHILI JUU, HESABU KAMA KAWA
Kaimu Katibu Mkuu wa baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), Dk. Charles Msonde akisoma matokeo ya mitihani ya kidato cha nne mwaka 2013 Dar es Salaam jana. KUANGALIA MATOKEO YA MITIHANIMatokeo ya...
View ArticleFILAMU ZA SWAHILIWOOD ZAZINDULIWA RASMI
Mkurugenzi wa Media For Development International (MFDI) – Tanzania Bw. John Riber akizungumza na wageni waalikwa (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa Filamu tatu chini ya mradi wa Swahiliwood. MFDI...
View ArticleUCHAGUZI WA KAMATI YA UTENDAJI YA TASWA KUFANYIKA MACHI 2,2014
Uchaguzi wa Kamati ya Utendaji ya Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) utafanyika Machi 2, 2014 jijini Dar es Salaam. Fomu kwa ajili ya waombaji uongozi zinaanza kutolewa Jumatatu...
View ArticleKAMPUNI YA MONABAN YAKABIDHI MSAADA HAI KWAAJILI YA WAANGA WA MAAFA
Mkurugenzi wa kiwanda cha kuzalisha unga kilichopo jijini Arusha Bw.Philemon Mollel akimkabidhi Mkuu wa wilaya ya Hai Mh.Novatus Makunga msaada wa Tani nne za unga wenye thamani ya shilingi Milioni...
View ArticleUhuru Marathon kuzinduliwa Butiama
Mratibu wa uhurumarathon nchini Bwana Innocent Melleck akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar Es Salaam juu maandalizi ya mbio hizo mwaka huu na umuhimu wa kulinda na kuenzi amani ya taifa la...
View ArticlePINDA AIASA JUMUIYA YA UMOJA WA WAZAZI NCHINI
WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema Jumuiya ya Wazazi nchini ni miongoni mwa jumuiya inayoongoza na kusimamia masuala yote yanayohusu elimu, malezi bora kwa vijana wa taifa letu hivyo lazima iangalie...
View ArticleMATOKEO YA KIDATO CHA NNE SHULE ZENYEMAJINA YA VIONGOZI AIBU, MKAPA APETA
Rais Benjamini Willium Mkapa, ambaye ndiye pekee jina lake linatumika vyema kwa shule iliyobeba jina lake kufanya vyema. Matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Nne 2013 yalitangazwa juzi na Kaimu Katibu...
View ArticleWashindi wawili wa droo ya winda safari ya Brazili na Serengeti wakabidhiwa...
Washindi wa droo ya winda safari ya Brazili na Serengeti Godbles Sehaba (kulia)na Karushe Mathias (kushoto) wakiwa na nyuso za furaha baada ya kukabidhiwa zawadi zao za king’amuzi cha azam...
View Article