MNAOSAKA AJIRA SOMENI TANGAZO HILI LA NAFASI ZA KAZI
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII TANGAZO KWA UMMAWizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kupitia Tangazo lake kwenye Gazeti la Habari Leo la tarehe20 Aprili, 2013 siku ya...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MAONYESHO YA NANE YA KAMISHENI YA VYUO...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Mhitimu wa Chuo Kikuu cha Makerere, Africa Junior, kuhusu Kituo cha utafiti wa...
View ArticleMWINYI ATAKA NOVEMBA 30 KUWA MAPUMZIKO AFRIKA MASHARIKI
Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi (kulia) akizungumza wakati wa uzinduzi wa kitabu cha ripoti ya utafiti juu ya ushirikishwaji wa raia katika mchakato wa uanzishwaji wa Jumuia ya Afrika...
View ArticleGHANA YAIBUKA MSHINDI WANUSU FAINALI YA GUINNESS® FOOTBALL CHALLENGE™, KENYA...
Washindi wa pili wa nusu fainali ya kwanza ya Guiness Football Challenge Francis Wangari(kushoto) na Kepha Kimani(kulia) kutoka Kenya katika picha ya pamoja na waendeshaji wa kipindi cha Pan-Africa...
View ArticleRAIS KIKWETE AWAAPISHA MABALOZI WANNE NA MWENYEKITI WA TUME YA MABADILIKO YA...
Rais Jakaya Kiwete akimwapisha Balozi Modest Mero kuwa Balozi mpya wa Kidumu Umoja wa Mataifa (UN), nchini Geneva Uswis. Jumla ya Mabolizi wanne waliapishwa na Rais kuiwakilisha Tanzania katika nchi...
View ArticleRAIS JAKAYA KIKWETE AKUTANA NA TIMU YA TAIFA LEO.
Rais Jakaya Kikwete akiwa katika Picha ya Pamoja na wachezaji wa Timu ya Taifa , Taifa Stars, viongozi wa Wizara ya Habari, Vijana ,Utamaduni na Michezo na Viongozi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu...
View ArticleNAMASTE INDIA KWA AIRTEL PEKEE YATOSHA!!
India inajulikana kwa lipi zaidi? Movies(Bollywood), shule bora au matibabu?? Sasa Airtel ya kuwezesha kulonga zaidi na walio india kwa bei nafuu,Kwa tsh 3000 tu utapata dakika 25, za kuwasiliana wiki...
View ArticleKATIBU WA ITIKADI NA UENEZI CCM ZIARANI BERLIN, UJERUMANI
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, CCM, Nape Nnauye (katikati) akikaribishwa na baadhi ya viongozi wa chama cha SPD mjini Berlin, Ujerumani alipowasili jana kuhudhuria sherehe za miaka 150 ya kuzaliwa...
View ArticleMINJA ASHINDA MILIONI 1 YA WINDA NA USHINDE YA BIA YA SERENGETI
Meneja wa bia ya Serengeti Allan Chonjo, akiongea na mshindi wa droo ya kwanza ya Winda na Ushinde kwa njia ya simu iliyochezeshwa leo katika ofisi za Kampuni ya bia ya Serengeti jijini Dar es Salaam...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ASHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA KIMATAIFA YA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na baba wa mtoto, Elizabeth Nora kutoka Dodoma aliyelazwa katika Hospitali ya CCBRT, wakati Makamu alipofika...
View ArticleTAARIFA ZA SOKA KUTOKA TFF HII LEO
WENYEVITI WA FA NDIYO WASIMAMIZI RCLWakati mechi za kwanza za raundi ya pili ya Ligi ya Mabingwa wa Mikoa (RCL) zinachezwa wikiendi hii, Kamati ya Mashindano ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania...
View ArticleDC BAHI AKAGUA MRADI WA MAJI
Mkuu wa Wilaya ya Bahi mkoani Dodoma, Betty Mkwasa (nguo nyekundu) akitoka katika kukagua mitambo ya kusukumua maji iliyopo katika vyanzo vya maji vya Kijiji cha Chipanga B wilayani humo ikiwa ni...
View ArticleChilly Willy, Dodoma Wine, CXC Africa kudhamini Redds Miss Sinza 2013
WAKATI jumla ya warembo 13 wamejitokeza kuwania taji la Redds Mid Sinza 2013 iliyopangwa kufanyika Juni 7, kwenye ukumbi wa Meeda Club, kampuni ya Tanzania Distillers Limited (TDL), kinywaji cha...
View ArticleKUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA
Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mh Samuel Sitta akiwasilisha Bungeni Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Bajeti ya Wizara hiyo kwa mwaka 2013/14 Bungeni mjini Dodoma. Waziri wa Katiba na...
View ArticleRATIBA YA SHEREHE ZA AU KESHO - KARIMJEE HALL
TENTATIVE PROGRAMME FOR THE CELEBRATIONS OF THE OAU/AU GOLDEN JUBILEE ON 25th MAY, 2013Venue - Karimjee HallGuest of Honour - Hon. Bernard Kamillius Membe (MP)Minister...
View ArticleYANGA WAMPIGA PINI NIYOZIMA ASIENDE SIMBA
Na Kambi Mbwana, Dar es SalaamKIUONGO wa Yanga, Haruna Niyonzima leo ameongeza mkataba ndani ya klabu yake kwa kujifunga kwa miaka miwili zaidi na kuwafurahisha wapenzi na wanachama wa timu yake....
View Article