RAIS JAKAYA KIKWETE AFUNGUA MAONYESHO YA MFUMO WA MATOKEO MAKUBWA 'SASA'...
Rais Jakaya Kikwete, Makamu wake Dkt. Mohammed Gharib Bilal na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, wakiwa kwenye Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa wakati wa Ufunguzi rasmi wa Maonesho ya Mfumo wa Matokeo Makubwa...
View ArticleJK AWASILI ADDIS ABABA KUHUDHURIA SHEREHE ZA MIAKA 50 ZA UMOJA WA NCHI ZA...
Rais Kikwete na Mama Salma Kikwete wakipata maelezo ya maandalizi ya sherehe hizo toka kwa balozi wa Tanzania nchini Ethiopia, Profesa Joram Biswaro mara baada ya kuwasili Addis Ababa.********* Rais...
View ArticleRAIS WA ZANZIBAR AMTEMBELEA SHEHA ALIYEMWAGIWA TINDIKALI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohammed Shein akimuangalia Sheha wa Shehia ya Tomodo wilaya ya Magharibi Unguja, Mohammed Said Kidevu (kulia) jinsi alivyoathirika na...
View ArticleTAMKO LA CUF JUU YA GHASIA ZA MTWARA
Prof. Ibrahim Haruna LipumbaMwenyekiti wa Taifa CUF.Chama Cha Wananchi (CUF) kimesikitishwa sana na vurugu zilizotokea Mtwara tarehe 22 Mei 2013 na uvunjaji mkubwa wa haki za binadamu uliofanywa na...
View ArticleRAIS KIKWETE KATIKA MKUTANO WA SHEREHE ZA MIAKA 50 YA AU JIJINI ADDIS ABABA LEO
Muono wa jicho la samaki katika Mkutano wa Sherehe za miaka 50 ya AU katika makao makuu ya umoja huo jijini Addis Ababa leo Mei 25, 2013Rais Jakaya Mrisho Kikwete Mkutano wa Sherehe za miaka 50 ya AU...
View ArticleISSERE SPORTS YATOA JEZI, MIPIRA KWA VIJANA KONDOA
Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Isere Sports, Abbas Ally Isere (kulia) akimkabidhi jezi seti moja mwakilishi, Dige Shaaban Nkusa kwa ajili ya timu ya vijana wa kijiji cha Mwembeni wilayani Kondoa...
View ArticleMADABIDA MGENI RASMI TAMASHA LA WASANII CHIPUKIZI LA MTANDAO WA WASANII...
MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhani Madabida atakuwa mgeni rasmi katika tamasha la Mastaa chipukizi zaidi ya 320 litafanyika Jumapili 26, 2013 katika ukumbi wa...
View ArticleMISS TANZANIA 1999, AWAFUNDA REDD'S MISS KIGAMBONI
Miss Tanzania 1999, Hoyce Temu akizungumza na warembo wanao wania taji la Redd's Miss Kigamboni 2013 wakati malikia huyo wa miaka 14 iliyopita alipo zuru kambi ya warembo hao jijini Dar es Salaam na...
View ArticleMARTHA GEWE ANYAKUA TAJI LA REDD'S MISS UKONGA 2013
Mshindi wa Shindano la Redd’s Miss Ukonga 2013, Martha Gewe (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na mshindi wa pili, Diana Joachim (kushoto) pamoja na mrembo aliyeshika nafasi ya tatu, Natasha...
View ArticleNCHI 22 ZA AFRIKA ZAPATA DARASA JUU YA AMANI YA MTU BINAFSI JANA
Mtaalam na mkufunzi wa masuala ya amani ya mtu binafsi kwa njia ya kutafakari kutoka taasisi ya Art of Living, Chandrika Magaraja akitoa maelezo juu ya amani ya mtu binafsi inavyoweza kupatikana kwa...
View ArticleSTELLA MWANGI A.K.A STL KUTUMBUIZA UZINDUZI WA BIG BROTHER JIJINI JO’BURG...
Mmoja wa wasanii watakaotumbuiza jioni hii kwenye uzinduzi wa show ya Big Brother-The Chase Stella Mwangi a.k.a STL kutoka Kenya akifanya mahojiano na Tsholofelo Mothibi wa Vuzu Tv ya nchini Afrika...
View ArticleMARTIN FUNDI NDIYE MSHINDI WA THE MIC KING 2013
...Akiliwasha gari lake.Meneja wa Mahusiano wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu (kushoto) akimkabidhi ufunguo wa gari mshindi wa The Vodacom Mic King 2013, Martin Fundi. Katikati ni Meneja Matukio wa...
View ArticleFEDHA KESSY NA NANDO WAIWAKILISHA TANZANIA KWENYE SHINDANO LA BIG BROTHER-THE...
Mwakilishi wa Tanzania Fedha Kessy akiwasalimu mashabiki wake kwa kuwapungia bendera ya Tanzania. Kulia ni mtangazaji wa Shindano la Big Brother The Chase 2013 Ik.Kundi la Mafikizolo la nchini Afrika...
View ArticleKINANA NAPE WATUA IRINGA, KUANZA ZIARA NJOMBE LEO
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye wakisalimia baadhi ya viongozi, baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Iringa asubuhi hii, kwa ajili ya kuanza...
View ArticleBARCLAYS YATANGAZA WADHAMINI WA MATEMBEZI YA HISANI YA 'STEP AHEAD'
Meneja wa Mawasiliano na Huduma za Jamii wa Benki ya Barclays, Tunu Kavishe (kushoto) akizungumza na waandishi wakati wa kutangaza wadhamini wa Matembezi ya Hisani ya ‘Step Ahead’ ambayo yamelenga...
View ArticleMAKAMU WA RAIS AKUTANA NA MKUU WA JESHI LA POLISI NA KUMPA POLE KUFUATIA VIFO...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mkuu wa jeshi la Polisi, Inspekta Jenerali Said Mwema, ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, wakati...
View ArticleBBA: First Kiss has Been Recorded!
Barely a day into Big Brother The Chase, the first kiss of the Season has been recorded in the Ruby House. A casual game of spin the bottle in the garden resulted in Ghana’s Selly reaching over to...
View ArticleKINANA: CCM IMEDHAMIRIA KUZOA KATA ZOTE 25
NA BASHIR NKOROMO, IRINGACHAMA Cha Mapindizi (CCM) kimesema kimedhamiria kushinda kwenye kata zote 25 katika uchaguzi mdogo wa madiwani ambao kampeni zake zinaendelea katika kata mbalimbali nchini.Hayo...
View Article