Quantcast
Channel: Father Kidevu
Browsing all 10583 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NANI KUIBUKA NA MILIONI 20 KATIKA SHINDANO LA MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2014?

Wafuatao ni washiriki wa mashindano ya Mama Shujaa wa Chakula kutoka mikoa mbalimbali ya Tanzania ambao sasa wapo kijijini Maisha Plus wakiwania zawadi ya vifaa vya kilimo vyenye thamani ya Tzshs....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAFUNZI SOMENI KWA BIDII: MAMA SALMA KIKWETE

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HUYU NDO MDUDU HATARI WA AEDES ANAE AMBUKIZA HOMA YA DENGUE

Dengue is a viral infection spread by mosquitoes.  It is widespread in tropical and sub-tropical regions. In the month of February 2014, the Dar es Salaam Public Health Officials confirmed a new wave...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ASKOFU SIXBERT PAUL WA KANISA LA VICTORIOUS KUTUNUKIA SHAHADA LA UDAKTARI YA...

Askofu Sixbert Paul wa kanisa la Victorious la mjini Moshi akizungumza na wandishi wa habari kuhusiana na hafla ya kutunukiwa shahada la udaktari ya hudumaWaandishi wa habari wakimsikiliza kwa makini,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ako Labamba yajitosa Miss Ubungo

Na Mwandishi Wetu, Dar es SalaamCLABU ya Ako Labamba ya jijini Dar es Salaam imejitosa kudhamini shindano la Miss Ubungo litakalofanyika mwezi ujao.Baadhi ya washiriki wa Miss Ubungo 2014 wakiwa katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA PILI LA WANASAYANSI NA MABINGWA WA TIBA...

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Kongamano la pili la Wanasayansi na Mabingwa wa Tiba, wakati wa ufunguzi huo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MACHIFU 120,MRISHO MPOTO NA WEMA SEPETU KUNOGESHA TAMASHA LA MTU KWAO ARUSHA

 chifu  Gilbert Isambe akiwa na vazi la kichifu chifu  Gilbert Isambe akiwa anaongea na vyombo vya habari pembeni ni mratibu wa tamasha la Mtu kwao bi Janeth JonasZaidi ya machifu 100 kutoka katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANGAZO LA MSIBA WA BRIAN SALVATORY RWEYMAMU

Bwana Salvatory Rweyemamu wa Kinondoni Dar es Salaam, anasikitika kutangaza kifo cha mtoto wake mpendwa Private Brian Salvarory Rweyemamu aliyefariki alfajiri ya kuamkia leo tarehe 15 Mei,2014 katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DIAMOND AONGEA NA JESTINA GEORGE KUHUSU BET NOMINATION 2014

Jana nilibahatika kuwa mtu wa kwanza kumhoji superstar Diamond Platnumz mara tu baada ya kuwa nominated kwenye BET Awards za Marekani kwenye kipengele cha Best International Act. Diamond ameeleza...

View Article


PAKA ALIVYO MUOKOA MTOTO ASISHAMBULIWE NA MBWA

Unfortunately your browser does not support IFrames.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MISS DAR CITY CENTRE 2014 TALENT SHOW KUTIKISA MAISHA CLUB

 Warembo wanaowania taji la Miss Dar City Center 2014 wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa mkutano na waandishi wa Habari hii leo.Mratibu wa shindano hilo, Judith Michael akizungumza na wanahabari,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MOSHI YAFUNIKA KILIMANJARO MUSIC TOUR 2014

 Msanii wa Muziki wa Taarabu, Khadija Kopa akitoa burudani kwa wakazi wa mji wa Moshi waliohudhuria tamasha la kwanza la ‘Kilimanjaro Music Tour 2014’ lililofanyika katika Viwanja vya Chuo Shirikishi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU MKUU KIONGOZI AKUTANA NA BALOZI WA FINLAND JIONI HII IKULU

Katibu Mkuu kiongozi Balozi Ombeni Sefue akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Finland nchini Mhe Sinikka Antilla alipokutana naye Ikulu Dar es salaam leo Mei 27, 2014.Balozi Antila ndiye Mwenyekiti wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TBL YATANGAZA UZAMINI KWA MASHINDANO YA POOL TAIFA 2014.

MenejawaBiaya Safari Lager, Oscar Shelukindo(kulia) akimkabidhiMwenyekitiwa Chama cha Pool Taifa, IsacTogochokikombe cha bingwawamashindanoya Pool Taifayajulikanayokama “Safari National Pool...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PPF KANDA YA KINONDONI YANG'ARA KATIKA MAONESHO YA 2 YA KIBIASHARA YA TANGA

Meneja wa PPF Kanda ya Kinondoni inayojumuisha wilaya ya Kinondoni, mkoa wa Pwani (Wilaya ya Kibaha na Bagamoyo) na mkoa wa Tanga Bi Zahra Kayugwa  akiwa katika picha ya pamoja na  Maafisa wa PPF...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANAPA YAWAKUTANISHA WAHARIRI TOKA VYOMBO MBALIMBALI VYA HABARI NCHINI,...

Moderetor wa kongamano la wahariri kutoka vyombo mbalimbali vya habari nchini Ayub Rioba akitoa maelekezo wakati wa kongamano hilo linalofanyika katika hotel ya JB Belmont jijini Mwanza.Meneja...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

IBADA YA KUMBUKUMBU YA MWAKA MMOJA YA MAREHEMU MZEE MAKWAIA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MEMBE AKOMAA NA BAJETI YAKE KUPITA LICHA YA SUALA LA M23 KUINGIZWA BUNGENI

 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe akiwasilisha Bungeni Mjini Dodoma Mei 27,2014 hotuba ya bajeti ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2014/2015. Baada ya mjada mrefu ambao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NDOVU SPECIAL MALT YASHINDA TUZO YA UBORA WA KIMATAIFA 2014 KATIKA TUZO ZA...

Meneja wa Biaya Ndovu Special Malt, Pamela Kikuli (kushoto) akizungumza na waandishi w ahabari (hawapopichani)kuhusu tuzo iliyopata hivi karibuni ya ubora wa kimataifa. Kulia ni Meneja masoko wa Kampun...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA ZA MICHEZO KUTOKA TFF LEO

TAIFA STARS KWENDA HARARE ALHAMISIMsafara wa watu 30 wa Taifa Stars unaojumuisha wachezaji, benchi la ufundi na viongozi unaondoka kesho alfajiri (Mei 29 mwaka huu) kwenda Harare, Zimbabwe kwa ajili ya...

View Article
Browsing all 10583 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>