President Kikwete visits the NATIONAL INSTITUTE OF HEALTH (NIH) in Washington...
President Jakaya Mrisho Kikwete speaks with members of the National Institutes of Health (NIH) in Washington DC during a familiarisation tour of the NIH, reputedly the largest hospital and reasearch...
View ArticleYEMI: NAKUJA KUMTEKETEZA SHILOLE
Mkali wa muziki kutoka pande za Nigeria, Yemi Alade.MKALI wa muziki kutoka pande za Nigeria, Yemi Alade amesema yupo tayari kuja kumteketeza mkali wa miondoko ya mduara Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’...
View ArticleMiss Tanzania 2012, JAT kusomesha albino 50
Miss Tanzania 2012, Brigitte Alfred akizungumza wakati wa uzinduzi wa mpango wa kutoa elimu kwa wajasiliamali kwa albino 50, kushoto ni Kaimu katibu Mkuu wa Jumuiya wa watu wenye ulemavu wa ngozi...
View ArticleVETA KATIKA MAONESHO YA WAKULIMA NANE NANE VIWANJA VYA NGONGO MKOANI LINDI
Wafanyakazi na wanafunzi wa Mamlaka ya Mafunzo ya Ufundi Stadi VETA kutoka vyuo mbalimbali nchini wapo katika maonesho ya wakulima nane nane yanayofanyika Kitaifa Mkoani Lindi katika viwanja vya...
View ArticleRedd's miss Kinondoni 2014 imesha iva
Washiriki wa shindano la Redd’s miss Kinondoni 2014 wakiwa katika picha ya pamoja kwenye mazoezi yanayofanyika kwenye Hotel ya Picolo jijini Dar es Salaam, Jumla ya warembo 20 wapo mazoezini kujiandaa...
View ArticleRAIS KIKWETE ALIPOKUTANA NA WANAJUMUIYA YA WATANZANIA WA DMV KATIKA MKUTANO...
Viongozi wa Jumuiya ya Watanzania DMV wakati wakimsubiri Rais Jakaya Mrisho Kikwete Jumapili Julai 3, 2014 katika hoteli ya Marriot jijini Washington DCViongozi wa Jumuiya ya Watanzania DMV wakati...
View ArticleBendera atilia mkazo soka la vijana.
Mkuu wa Morogoro Joel Bendera akipiga mpira kuashiria uzinduzi wa Airtel Rising Stars mkoani Morogoro. Mkuu wa mkoa wa Morogoro Joel Bendera akikagua timu wakati wa uzinduzi wa Airtel Rising Stars...
View ArticleMahojiano na mgombea urais wa jumuia DMV, Liberatus Mwang'ombe
Karibu katika mahojiano kati ya Kwanza Production na Liberatus Mwang'ombe. Mgombea uRais wa Jumuiya ya waTanzania waishio Washington DC, Maryland na Virginia Uchaguzi unategemewa kufanyika Agosti 9, 2014
View ArticleTIGO YA FUNIKA MAONESHO YA NANE NANE MKOANI LINDI
Umati wa wakazi wa Mkoa wa Lindi na Vitongoji vyake wakiwa wamefurika katika viwanja vya Maonesho ya Wakulima Nane Nane vilivyopo Ngongo Mkoani Lindi kushuhudia huduma ya taarifa za soko kupitia simu...
View ArticleRedd’s Miss Kinondoni Talent leo
Na Mwandishi WetuKAZI IMEANZA! Shindano la Redd’s Miss Kinondoni, linazidi kushika kasi na kazi kubwa ipo leo wakati atakaposakwa mrembo mwenye kipaji kati ya 20 wanaoliwania taji hilo. Mratibu wa...
View ArticleAICC NA JNICC WASHIRIKI VYEMA MAONESHO YA WAKULIMA NANE NANE KITAIFA MKOANI...
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Kanali Mstaafu-Joseph Simbakalia akipokea maelezo ya shughuli zinazofanywa na Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa Arusha (AICC) na Ukumbi mpya wa Mikutano wa kimataifa wa Julius...
View ArticleLAPF YATOA MIKOPO YA ELIMU KWA WANACHAMA WAKE
Kaimu meneja Masoko wa LAPFBi Rehema Mkamba akitoa maelezo kwa wananchi na wanachama waliotembelea banda la lapf Nane Nane Mjini Dodoma. Afisa matekelezo wa LAPF Bi Christina Mbaga akitoa maelezo juu...
View ArticleRAIS KIKWETE AJIUNGA NA VIONGOZI WENGINE WA AFRIKA KATIKA MKUTANO WA VIONGOZI...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwasili katika Ikulu ya Marekani (White House) jijini Washington DC kwa dhifa ya Kitaifa waliyoandaliwa viongozi wa Afrika na mwenyeji wao Rais...
View ArticleSSRA YAZIDUA KANUNI MPYA ZA KUHUISHA MAFAO YA PENSHENI
Waziri wa Kazi na Ajira, Dk.Gaudensia Kabaka akizungumza na waandishi wa habari mjini Dodoma juzi kuhusu mabadiliko ya Kanuni za Kuhuisha Mafao ya Pensheni kwa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii ya kuwa na...
View ArticleMO awashtaki CCM Singida kwa Kinana
Katibu wa CCM Mkoa wa Singida Naomi Kapambala aaizungumza na waanndishi wa habari juu ya ufafanuzi wa maendeleo ya ujenzi wa uwanja huo.Na Hillary Shoo, SingidaMbunge wa Jimbo la Singida mjini (CCM),...
View ArticleWIZARA YA FEDHA NA TAASISI ZAKE KATIKA MAONESHO YA WAKULIMA NANE NANE MKOANI...
Afisa Mwendeshaji wa PPF, Tumpe Mwaitenda akimsikiliza mwananchi aliyetembelea banda la lao lililopo ndani ya Banda la Wizara ya Fedha katika maonesho ya wakulima nane nane kitaifa viwanja vya Ngongo...
View ArticleNAPE AZUNGUMZIA MIDAHALO INAYOENDELEA
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) na ambapo alisema kitendo cha Tume ya Katiba kukishambulia na kukisakama Chama Cha Mapinduzi haikuwa sawa...
View Article