Quantcast
Channel: Father Kidevu
Browsing all 10588 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS AIPA TUZO VETA KWA KUIBUKA WASHINDI WA KWANZA NANE NANE KITAIFA

 Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharibu Bilali akikabidhi tuzo ya Ushindi wa kwanza Kitaifa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) kwa kuibuka washindi wa jumla katika Kundi la Taasisi za...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI WA HABARI NA VIONGOZI WA WIZARA NA TAASISI ZIARANI NCHINI CHINA

Waziri wa Habari,  Vijana,  Utamaduni na Michezo Dkt.  Fenela Mukangala yuko nchini China katika ziara ya kuangalia maendeleo ya Sekta ya Utangazaji na kuimarisha ushirikiano katika sekta ya Utangazaji...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE ATEMBELEA MAKTABA YA RAIS MSTAAFU WA MAREKANI GEORGE W.BUSH

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakitembelea Maktaba ya Kirais ya Rais Bush (Bush Presidential Library) iliyo katika Taasisi ya Bush (George W. Bush Institute) mjini Dallas, Texas, na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA YASHIRIKI KIKAMILIFU MAONESHO YA WAKULIMA NANE...

Watumishi wa Wizara ya Viwanda na Biashara wakiwa katika banda lao wakati wa Maonesho ya Wakulima Viwanja vya Ngongo Mkoani Lindi.  Watoto waliotembelea Banda lka WQizara ya Viwanda na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KITUO CHA REDIO 5 KILIVYO NYAKUA UBINGWA MAONYESHO YA NANE NANE KANDA YA...

Wafanyakazi wa Kampuni ya Tan Communication Media inayomiliki kituo cha Redio 5 chenye makao yake makuu jijini Arusha, wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi Mkuu wa mkoa wa Manyara Erasto Mbwilo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAHA WALIVYO ONESHA TEKNOLOJIA YA MAHEMA KATIKA KILIMO CHA MBOGA MBOGA...

Afisa kilimo Mkoa wa Mbeya (Aliyevaa tai) akipokea maelezo ya kilimo cha mboga ndani ya hema maalumu ya kuoteshea nyanya iliyowekwa na Barton Tanzania kwa ushirikiano na TAHA  katika viwanja vya John...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RIDHIWANI KIKWETE AZINDUA KISIMA CHA MAJI, LAMBO KATIKA KIJIJI CHA JAMII YA...

 Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwan Kikwete akionozana na akina mama wa jamii ya kimasai waliobeba maji waliyoyateka baada ya mbunge huyo kuzindua kisima cha maji katika Kijiji cha Mbala, Chalinze,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

REDIO 5 WAELEZA CHANZO CHA USHINDI WAO KATIKA SEKTA YA MAWASILIANO NA HABARI

Wafanyakazi wa Kampuni ya Tan Communication Media inayomiliki kituo cha Redio 5 chenye makao yake makuu jijini Arusha,wakiwa wanafurahia kikombe walichonyakua juzi mara baada ya kuibuka washindi wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAREMBO REDD'S MISS TEMEKE WAJIFUA VILIVYO

 Warembo wanaotarajia kushiriki mashindano ya Redd's Miss Temeke, wakifanya mazoezi ya viungo katika ukumbi wa mazoezi wa Rio Gym & Spa Extra Jengo la Golden Jubilee, Dar es Salaam. Mashindano hayo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

LOWASSA AMJULIA HALI MJUMBE WA BUNGE LA KATIKA ALIYESHAMBULIWA DODOMA

Mjumbe wa bunge maalum la katiba kutoka kundi la 201,Thomas Magnus Mgoli amelazwa katika hospital ya mkoa Dodoma baada ya kupigwa na vijana anaodai kuwa ni washabiki wa Chadema.Akizungumza kitandani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2014 LAZINDULIWA KWA KISHINDO JIJINI MWANZA.

Nyota wa  muziki wa bongo fleva, Naseeb Abdul 'Diamond Platinum' akilitawala jukwaa pamoja na baadhi ya wacheza shoo wake katika onyesho  la kwanza la tamasha la Serengeti fiesta katika Uwanja wa CCM...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINONDONI YATABIRIWA KUMTOA REDD'S MISS TANZANIA 2014

Na Mwandishi WetuKUMEKUCHA! Miss Kinondoni anayemaliza muda wake, Lucy Tomeka, ametamba ni lazima mrembo wa Redd’s Miss Tanzania mwaka huu atoke Kinondoni.Lucy alisema ana uhakika huo mkubwa kutokana...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIGODA OPEN A MEETING ON TRADE NEGOTIATIONS IN DAR

 Meeting on Trade negotiations on capacity development in trade and investment for African Countries was opened today by the Minister for Industry and Trade Hon. Dr. Abdallah Kigoda, held at Habour...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAZIWA YA ASAS YASHINDA TUZO MAONYESHO YA NANE NANE

 Kikombe  cha ushindi  katika maonyesho ya nane nane  ambacho kampuni ya maziwa ya Asas ilipataWananchi  Dodoma  wakiwa katika banda la Asas  wakati wa nane nane  kununua maziwa Nyani  aliyekuwepo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Castle Lite yazindua promosheni kali

Meneja msaidizi wa Castle lite, Victoria Kimaro wakizungumza na waandishi wa habari jijini Dar Es Salaam kwenye uzinduzi wa kampeni ya kutafuta washindi wa kushiriki VIP Yachy Party ambapo kutakuwa na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MEMBE NA NAPE WAHANI MISIBA YA WALIOPATWA NA AJALI MTAMA NA KUTEMBELEA MAJERUHI

Mbunge wa Jimbo la Mtama mkoani Lindi ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe.Mhesimiwa Bernard Membe akisalimiana na Salum Said Mchora ambaye amepoteza mtoto wake wa kiume...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI WILAYANI NGORONGORO YATAKIWA KUTOA USHIRIKIANO KWA REDIO ZA KIJAMII

Kikundi cha ngoma ya Kimasai kilichowatumbuiza wageni waliotembelea mradi wa redio ya Loliondo FM inayofadhiliwa na UNESCO wakitumbuiza wakati wa ziara hiyo.Afisa Miradi wa kitengo cha Sayansi kutoka...

View Article


SEMINA YA UTHAMINISHAJI MADINI KUFANYIKA BAGAMOYO

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DOTTO KAHINDI NA ELIZABETH NGUMA WAMEREMETA

Baada ya kuwa marafiki kwa zaidi ya miaka minane Dotto Paul Kahindi (Mandolin) na Elizabeth Riziki Morris Nguma, Agosti 9, 2014 Mungu amewajalia kufunga pingu za maisha kwenye kanisa la Katoliki...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ELIZABETH TARIMO NDIYE MSHINDI WA MISS KANDA YA MASHARIKI 2014

Mshindi wa Taji la Redd’s Miss Kanda ya Mashariki 2014 ,  Elizabeth  Tarimo (18) ambaye pia ni Miss Lindi akiwa mwenye uso wa furaha na tabasamu la ushindi sambamba na  mshindi wa pili  Nidah Katunzi...

View Article
Browsing all 10588 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>