Quantcast
Channel: Father Kidevu
Browsing all 10583 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAPIGANO YA WANANCHI WILAYANI CHEMBA YASABABISHA MMOJA KUFA

Mnamo tarehe 11/08/2014 majira ya 20:00 tulipokea taarifa kutoka katika kijiji cha Bubutole Mbuyuni Kata na Tarafa ya Farkwa Wilaya ya Chemba Mkoa wa Dodoma kuwa kuna mapigano ya wanakijiji, na mtu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

FLAVIANA MATATA FOUNDATION NA PSPF WAKABIDHI VIFAA VYA SHULE LINDI

Flaviana Matata ameongozana na Meneja wa Mawasiliano, Masoko na Uenezi wa PSPF, Costantina Martin pamoja na wafanyakazi wa PSPF katika zoezi la kukabidhi vifaa hivyo. Mwanamitondo afanyae kazi zake za...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BI VAILET MAKAZI WA MTANANA WILAYANI KONGWA AOMBA MSAADA ILI AKAFANYIWE UPASUAJI

Na John Banda,Kongwa.Bi Vailet Sekwao (40) mkazi wa kijiji cha Mtanana Wilaya ya Kongwa Mkoani Dodoma, anaomba msaada wa kifedha kiasi cha shilingi million mbili (2) ili aweze kufanyiwa upasuaji wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TUJIKUMBUSHE MIAKA ILIYOPITA BOYS II MEN (JK na EDO)

1995. Rais Jakaya Mrisho Kikwete enzi hizo akitangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania na hatimaye ikawa akiwa katika picha ya pamoja na swahiba yake mkubwa, na aliyepata kuwa Waziri Mkuu Edward Ngoyae...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mahojiano ya Kwanza Production na Jhiko Manyika a.k.a JhikoMan

JhikoMan akitumbuiza kwenye Tamasha la Majahazi 2013Karibu katika mahojiano kati ya Kwanza Production na Jhiko Manyika a.k.a JhikoMan aliyejiunga nasi moja kwa moja kutoka Helsinki Finland mwishoni mwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANESCO HUYU NANI

Mafundi umeme kama hawa wasio valia sare za Shirika la Umeme nchini Tanesco mara nyingi hudhaniwa kuwa ni vishoka wanaowaunganishia watu umeme kinyemela na kulisababishia hasara shirika hilo kama huyu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waliopata Ufadhili wa masomo China waagwa.

Bi. Erasma Rutachura, ambaye amepata ufadhili wa masomo nchini China,ngazi ya shahada ya uzamivu katika mafuta na gesi akipokea nyaraka zitakazomwezesha kujiunga na masomo yake mwaka huu.Anayempa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Airtel na GSMA waandaa semina kuhamashisha matumizi ya Nishati mbadala rafiki...

Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Prof. Makame Mnyaa Mbarawa  (wa pili kushoto), akimpongeza Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania, Sunil Colaso, baada ya kuzindua warsha ya siku mbili ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JACKSON SIKAHANGA NA MERINA KAMALA WALIVYO MEREMETA

 Maharusi Jackson Sikahanga na mkewe kipenzi Merina Kamala wakipozi kwa furaha baada ya kufunga ndoa yao takatifu katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Kijitonyama Dar es...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

REDD'S MISS KINONDONI 2014 NI SHIDAAAAH!

 Mratibu wa shindano la Redd's miss Kinondoni 2014 Innocent Melleck katikati akizungumza na waandishi wa Habari jijini Dar Es Salaam juu ya shindano la kanda ya kinondoni litakalofanyika katika ukumbi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MISS ILALA 2013 DORICE MOLLEL ATEMBELEA KAMPUNI YA KUTENGENEZA UMEME WA GESI...

Bw. Karl Heinz Knoop akielezea historia fupi kuhusu kampuni yake kwa wanafunzi wa Chuo cha kumbukumbu ya Mwl. Nyerere akiwemo Miss Ilala 2013 Dorice Mollel wanaoshiriki program ya mwezi mmoja nchini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MOTO WATEKETEZA MSIKITI WA MTAMBANI JIJINI DAR ES SALAAM

 Moto Mkubwa ukiendelea kuwaka katika eneo la juu la Jengo la Shule ya Sekondari ya Kiislam ya Mivumoni (Mivumoni Islamic Seminary) iliyopo ndani ya Msikiti wa Mtambani,Kinondoni B Jijini Dar es Salaam...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTOTO ANAEDAIWA KUFICHWA NA KUTESWA AZUNGUMZA NA KUSEMA ANAKULA 'BATA'

Mtoto Colins Silvanus Mzeru mkazi wa Tabata Dar es Salaam, akizungumza na waandishi wa habari Dar es salaam jana alipofika na mamayake mlezi, Nora Mzeru kukanusha tuhuma dhid i ya mamayake huyo kuwa...

View Article


SOMA JARIDA LA NISHATI NA MADINI TOLEO LA 29

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MARIA SHILA NDIYE REDD'S MISS KINONDONI 2014

Redd's Miss Kinondoni 2014, Maria Shila akipunga mkono baada ya kutawazwa kuwa malkia wa Kanda ya Kinondoni katika shindano lililoshirikisha wanyange 16 waliokuwa wakiwania tiketi ya  kushiriki...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSIGWA AENGULIWA UCHAGUZI WA CHADEMA IRINGA

Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Msigwambunge mchungaji Msigwa kushoto akiwa na mbunge Chiku Abwao katika moja kati ya  vikao  vya baraza la madiwani Manispaa ya Iringa ********** Na Francis...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

FEDHA WAFURAHIA USHINDI WA NANE NANE NA KUBAINISHA MIKAKATI.

Mkuu wa Kitengo Cha Mawasiliano, Wizara ya Fedha, Ingiahed Mduma  (wa pili kushoto) na  Kassim Kobelo Mkuu wa Hazina ndogo Mkoa wa Lindi ( wa pili kulia) wakiwa wameshika cheti cha ushindi wa pili wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TFF KUREJESHA OFISI ZAKE KARUME

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeamua kurejesha ofisi zake Uwanja wa Kumbukumbu ya Karume kwa vile mipango ya uendelezaji wa eneo hilo bado haijakwenda kama ilivyopangwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MUDA WA USAJILI WAONGEZWA KWA SIKU KUMI

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeongeza kwa siku kumi muda wa kumalizika usajili wa wachezaji wa klabu za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) na Ligi Daraja la Kwanza (FDL)  kutokana na kuchelewa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwanafunzi wa Tanzania Aibuka mshindi wa Kwanza Tuzo ya Isha SADC

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza mwanafunzi wa kidato cha nne Neema Steven Mtwanga(16) anayesoma katika shule ya sekondari Naboti Makambako,Njombe baada ya kuibuka mshindi wa kwanza katika...

View Article
Browsing all 10583 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>