SIMBA YAWAPELEKA OKWI, KIONGERA NDANDA FC NANGWANDA SIJAONA MTWARA
Na Fadha Kidevu BlogWABABE wa Gormahia ya Kenya timu ya Simba Jumamosi ya wiki hii itapambana na wageni wa Ligi Kuu Ndanda FC,katika mchezo wa kirafiki utakao fanyika kwenye uwanja wa Nangwanda Sijaona...
View ArticleMORIS AREJEA MAZOEZINI TAYARI KWA KUIKABILI YANGA
Fadha Kidevu BlogBEKI tegemezi wa Azam FC,Aggrey Moris leo ameanza mazoezi na timu yake kujiandaa na mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Yanga uliopangwa kufanyika Jumapili hii uwanja wa taifa..Meneja wa...
View ArticleAJALI NYINGINE MABASI YA SIMBA MTOTO NA DAR EXPRESS YAGONGANA USO KWA...
Pichani ni mabasi mawili ya Simba Mtoto na Dar Express yakiwa wamegongana uso kwa uso maeneo ya Muheza Mkoani Tanga mchana huu. Haijafahamika ni abiria wangapi wamedhurika katika ajali hiyo. Chanzo cha...
View ArticleDIWANI WA CCM LUPINGU AFA KATIKA AJALI YA GARI LEO
Diwani wa viti maalum Lupingu Prisca Kayombo-Zaruta (kulia) enzi za uhai wake akishirikiana na mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe kufukia nguzo za umeme kwenda kata ya Lupingu katika...
View ArticleNEW UN RESIDENT COORDINATOR AND UNDP REPRESENTATIVE PRESENTS CREDENTIALS TO...
The UN Resident Coordinator and UNDP Representative, Mr. Alvaro Rodriguez presents Copies of Credentials to Hon. Bernard K. Membe (MP), Minister for Foreign Affairs and International Cooperation...
View ArticleLOWASSA AIFARIJI FAMILIA YA MZEE NDEJEMBI
Waziri mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akisalimiana na mdogo wa marehemu Betty Ndejembi, Aisha Ndejembi aliyeuawa wiki mbili zilizopita jijini Dar es Salaam. Pembeni ni Mzee...
View ArticleSERIKALI YAJIPANGA KUTAFUTA SULUHU YA UHARIBIFU WA TABAKA LA OZINI TANZANIA.
Mkurugenzi wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Dk. Julius Ningu akizungumzia uharibifu wa Tabaka la Ozoni utokanao na matumizi ya gesi zisizo rafiki kwa Mazingira, Ofisini kwake leo alipokuwa...
View ArticleAJALI NYINGINE YATOKEA GAIRO MOROGORO NA KUHUSISHA BASI LA AIRBUS
Watu wanne wamepoteza maisha na wengine 35 kujeruhiwa Mkoani Morogoro baada ya basi la Kampuni ya Airbus lililokuwa likitoka Dar es salaam kwenda Mara kupinduka eneo katika eneo la Daraja la Mkange...
View ArticleKUIONA YANGA VS AZAM FC NGAO YA JAMII BUKU TANO TU
Kiingilio cha chini kwenye mechi ya Ngao ya Jamii kuashiria uzinduzi wa msimu mpya wa Ligi kati ya Azam na Yanga itakayochezwa Jumapili (Septemba 14 mwaka huu) Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam ni sh....
View ArticleMBUNGE WA JIMBO MOROGORO KUSINI ATEKELEZA AHADI YAKE YA KUKUWEZESHA CHAMA CHA...
Mbunge wa Jimbo la Morogoro kusini Mh Innocent Kalogeris (kulia) Ahimkabidhi Pikipiki 11 Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Morogoro Vijijini Mh Jazar Ikiwa Ni ahadi yake aliyoitoa ya Kukusaidia chama cha...
View ArticleTAZAMA MJI UNAOTARAJI KUJENGWA NA QATAR JANGWANI KWAAJILI YA FAINALI ZA KOMBE...
Mji wa Lusail uliopo umbali wa maili 9 kutoka mji mkuu wa Doha huko Qatar ndio umepangwa kuwa mwenyeji wa fainali za kombe la Dunia mwaka 2022. Sherehe za ufunguzi wa mashindano hayo makubwa duniani ya...
View ArticleTCD YATOA TAMKO KUHUSU MCHAKATO WA KATIBA NA UCHAGUZI MKUU WA 2015
Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), Mhe. John Cheyo akitoa tamko kuhusu mchakato wa Katiba na Uchaguzi Mkuu wa 2015 leo 9 Septemba, 2014 katika Ukumbi wa Idara ya Habari Bungeni mjini...
View ArticleRAIS KIKWETE AKAGUA VIFAA NA ENEO MAALUMU KWA WAGONJWA WA EBOLA JIJINI DAR ES...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wauguzi waliovalia mavazi maalumu tayari kutoa huduma kwa abiria atayekutwa na ugonjwa wa ebola mara atapowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa...
View ArticleJK AMUAPISHA BALOZI MPYA WA TANZANIA NCHINI RWANDA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete akimwapisha Balozi mpya wa Tanzania nchini Rwanda, Balozi Ally Iddi Siwa leo Ikulu jijini Dar es Salaam.
View ArticleGODFREY MGIMWA ASEMA AMETUMIA ZAIDI YA TSH MILIONI 68 KWA MIENZI MITATU...
Mbunge wa jimbo la Kalenga Godfrey Mgimwa (kulia) akikabidhi ahadi ya bati 100 alizokuwa ameziahidi mbunge aliyepita marehemu Dr Wiliam Mgimwa kwa viongozi wa kijiji cha Mangalali kwa ajili ya...
View ArticleMKUTANO WA 24 WA WADAU NA WANACHAMA WA MFUKO WA PENSHENI WA PPF WAANZA RASMI...
Naibu Waziri wa Fedha Nchini, Mh Mwigulu Nchemba ambae pia alikuwa Mgeni Rasmi katika Mkutano wa 24 wa Wanachama na wadau wa Mfuko wa Pensheni wa PPF akifungua Mkutano wa 24 wa Wanachama na Wadau wa...
View ArticleWANAFUNZI WANAOMALIZA DARASA LA SABA TUWATUNZE KIMAADILI WAKISUBIRI MATOKEO
LEO watoto wetu wapatao 808,111 wanamaliza elimu yao ya msngi ya Darasa la Saba nchini kote.Hii ni idadi tu ya wale ambao wamejisajili kufanya mitihani hiyo kwa mawa huu na Baraza la Mitihani...
View Article