JAJA AIZAMISHA AZAM FC YANGA IKISHINDA 3-0 NGAO YA JAMII LEO
Kikosi kamili cha Yanga kilichoifunga Azam FC 3-0 katika mchezo wa Ngao ya jamii hii leo. Kikosi cha Azam FC.****** Mshamabuliaji Geilson Santos Santana “Jaja” raia wa Brazil leo ameiwezesha timu yake...
View ArticleWAREMBO MISS TANZANIA WAJIFUA GYM KUIWEKA MIILI YAO SAFI
Warembo wanaoshiriki shindano la Redd's Miss Tanzania 2014 leo wameingia siku ya pili ya kambi yao jijini Dar es Salaam na baada ya semina asubuhi na mapumziko ya mchana jioni hii wamefanya mazoezi...
View ArticleMANCHESTER UNITED YAFUFUKA KWA KUCHARAZA 4-0 QPR
Wachezaji wa Man U wakishangilia goli la pili la Wine Roone Leo ni siku njejma sana kwa mashabiki na wafuasi wa timu ya Manchester United na Yanga kwa nchini Tanzania na huenda leo wakapata usingizi...
View ArticleKESI ACHAFUA HALI YA HEWA BUNGE LA MABADILIKO KATIBA
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Alli Keissy (kushoto) na Mjumbe kutoka Zanzibar Mohamed Raza wakibadilishana mawazo leo mjini Dodoma wakati wakielekea kuhudhuria kikao cha arobaini cha Bunge...
View ArticleYANGA KUANZA KUJINOA KESHO TAYARI KWA KUIVAA MTIBWA SUGER
Na Father Kidevu BlogKIKOSI cha Yanga kesho kinatarajia kuendelea na maandalizi ya Ligi Kuu kwenye uwanja wa Shule ya Sekondari Loyola, na Alhamisi itasafiri kuelekea Morogoro kwa ajili ya mchezo wake...
View ArticleKICHAPO CHA AZAM JANA NI MATOKEO YA MAWASILIANO MABOVU: KAVUMBAGU
Fadha Kidevu BlogMSHAMBULIAJI wa Azam raia wa Burundi Didier Kavumbagu,amesema matokeo mabaya iliyoipata timu yake dhidi ya Yanga Jumapili ilitokana na mawasiliano mabovu ya beki wao wakati.Kavumbagu...
View ArticleCOUTINHO KUCHEZA MECHI YA MTIBWA NA YANGA MOROGORO
Na Fadher Kidevu BlogKIUNGO wa Brazili Andrey Coutinho,leo ameanza mazoezi na kikosi cha Yanga kujiandaa na mechi ya kwanza ya Ligi itakayochezwa Jumamosi Morogoro dhidi ya wenyeji Mtibwa...
View ArticleUMOJA WA VIJANA WAZALENDO WA VYUO VYA ELIMU YA JUU DAR ES SALAAM WATOA TAMKO...
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Wazalendo wa Vyuo vya Elimu ya Juu Mkoa wa Dar es Salaam, Mussa Omary, akisoma tamko hilo, Dar es Salaam leo. Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Wazalendo wa Vyuo vya Elimu...
View ArticleRAIS KIKWETE AWASILI MAREKANI KUHUDHURIA MKUTANO WA 69 WA UMOJA WA MATAIFA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameondoka nchini usiku wa jana, Jumatatu, Septemba 15, 2014, kuanza ziara ya wiki mbili katika Marekani ambapo atahutubia...
View ArticleWAREMBO MISS TANZANIA WATEMBELEA HIFADHI YA TAIFA MIKUMI
Warembo 30 wanaoshiriki shindano la Redd's Miss Tanzania 2014 jana walitembelea hifadhi ya taifa ya Mikumi mkoani Morogoro kujionea vivutio mbalimbali vya utalii viliovyopo katika hifadhi hiyo ambapo...
View ArticleKUMBUKUMBU YA MIAKA 7 YA KIFO CHA MZEE SHAURI TIMOTHEO NATHAN
Mzee Shauri Timoth Nathan (18/08/1925-18/09/2007) Sekunde, Dakika, Saa, Siku, Wiki, Mwezi, Mwaka na hatimaye mika saba sasa imetimia tangu Mzee Shauri Timoth Nathan (18/08/1925-18/09/2007)...
View ArticleHAPPY BIRTHDAY FATHER KIDEVU
LEO ni siku ya kuzaliwa ya mpiganaji Mroki Mroki 'Father Kidevu' ambapo leo anaadhimisha miaka kadhaa hapa duniani. Anasema Sifa na Utukufu anazirudisha kwa Mungu maana yeye ndie ajauae sababu ya...
View ArticleKINANA AMSIFU MAMA SALMA KIKWETE KUANZISHA SHULE YA WAMA NAKAYAMA
Katibu Mkuu wa CCM, ADULRAHMAN Kinana akizungumza na wananfunzi wa Shule ya Sekondari ya WAMA NAKAYAMA aliposimama kwa muda akitokea ziara ya Kisiwa cha Mafia kwenda Dar es Salaam. Alimpongeza Mama...
View ArticleYANGA KUWAFUATA MTWIBWA SUGER MOROGORO HII LEO
Na Fadher Kidevu BlogWASHINDI wa Ngao ya Jamii msimu wa 2014/2015 timu ya Yanga inaondoka leo asubuhi kuelekea Morogoro tayari kwa mechi ya ufunguzi wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara dhidi ya...
View ArticleMSIKITI WA WAHINDU DAR WAWAKA MOTO
Kikosi cha zima moto kikifanya juhudi za kuzima moto huo. MSIKITI wa madhehebu ya Wahindu uliopo maeneo ya Mtaa wa Kibasila karibu na shule ya Olimpia jijini Dar es Salaam, umeteketea kwa moto leo...
View ArticleMISS TANZANIA WATEMBELEA HIFADHI YA TAIFA YA MLIMA KILIMAJARO (KINAPA).
Warembo wanaoshiriki shindano la Redd's Miss Tanzania 2014 wametembelea hifadhi ya Mlima Kilimanjaro (KINAPA) na kujifunza mambo mengi kuhusiana na hifadhi hiyo ya mlima kilamanjaro. Pichani ni...
View ArticlePPF YAWANOA WAAJIRI KUHUSIANA NA HUDUMA ZAKE MPYA IKIWEMO PPF TAARIFA APP.
Prof. Betria Mapunda ambae amemwakilisha Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar Es salaam akifungua semina iliyoandaliwa na Mfuko wa Pensheni wa PPF kwa Waajiri kwa lengo la Kutoa elimu juu ya huduma...
View ArticlePHIRI NIPE NAFASI UONE MAMBO YANGU: TAMBWE
Na Fadher Kidevu BlogMSHAMBULIAJI wa Simba raia wa Burundi Amisi Tambwe,amemtaka kocha wa wake Patrick Phiri,kumpa mechi mbili tu ili aweze kurudisha heshima yake aliyoiweka msimu uliopita kwa kufunga...
View Article