MAKONDA KUKUTANA NA WANANCHI WA KINONDONI WENYE MIGOGORO YA ARDHI KILA IJUMAA
AUNDA KAMATI YA KUSHUSHUGHULIKIA MIGOGORO YA ARDHI KINONDONINa Mwandishi Wetu, Dar es Salaam. Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda amesema kuwa wilaya ya Kinondoni inakabiliwa na changamoto...
View ArticleCAPT KOMBA AZIKWA KIJIJINI KWAO LUTUHI-NYASA MKOANI RUVUMA, JK AONGOZA MAZISHI
Askofu wa Kanisa Katoliki jimbo la Mbinga Mhashamu John Ndimbo akiongoza ibada ya mazishi ya aliyekuwa mbunge wa Mbinga Magharibi marehemu Kapteni John Damiano Komba wakati wa ibada ya mazishi yake...
View ArticleRais Kikwete amtembelea Rubani wa ndegevita Hospitali ya Jeshi Lugalo
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma wakimjulia hali Meja Peter Lyamuya aliyelazwa katika hospitali kuu ya jeshi Lugalo jijini Dar es Salaam akiuguza jeraha la mguu alilopata baada ya...
View ArticleKATIBU MKUU WA CCM NDUGU ABDULRAHMAN KINANA AWASILI DODOMA NA KUANZA ZIARA...
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishuka kwenye ndege mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma akitokea mkoani Ruvuma ambako alihudhuria mazishi ya Kada wa CCM na Mbunge wa...
View ArticleMvuvi katika kisiwa cha Yozu wilaya ya Sengerema Aibuka na Toyota IST
Kaimu Meneja Mauzo Kanda ya Ziwa wa Airtel Bwana David Wankuru akimkabithi gari aina ya Toyota IST bwana Kijiji Gweso ambaye ni Mvuvi na mkazi wa wilaya ya Sengerema Mwanza mara baada ya kuibuka...
View ArticleKAMPUNI YA VUNJA BEI YAMKABIDHI MKUU WA MKOA ARUSHA ZAWADI YA DINNER SET NA...
Mkurugenzi wa kampuni ya vunja bei inayojihusisha na uuzaji wa vifaa mbalimbali vya nyumbani Bw.Shija Ulaya Kamanija akimkabidhi zawadi ya dinner set Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mh.Felix Ntibenda jana kwa...
View ArticleKIJIJI CHA GONGONI WILAYANI KILOSA WAADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI,...
Angelina Mziray Katibu Mkuu wa Women and Poverty alleviation in Tanzania , Akiwakaribisha wageni Mbalimbali waliofika katika Sherehe za Kuazimisha Siku ya Wanawake Duniani ambapo wao wameadhimisha...
View ArticleCFAO MOTORS WAIFIKISHA KWA MARA YA KWANZA MERCEDECE BENZ GCL CLAA JIJINI ARUSHA
Mkurugenzi wa kampuni ya kuagiza,kuuza na kutengeneza magari ya Arusha Arts, Gunvant Sachev (kushoto) akipokea tuzo ya uwakala bora katika kuuza vipuri na magari aina ya mercedece benz kutoka kwa...
View ArticleMWANAHARAKATI WA SIKU NYINGI WA WANYAMAPORI NCHINI TANZANIA AMPONGEZA RAIS...
Mwanaharakati wa siku nyingi wa wanyama pori na mazingira nchini Tanzania Kidon Mkuu, akiwa Philipine Manila December 2014 kwenye harakati zake za matatembezi ya kupinga kuuwawa kwa Tembo na Faru akiwa...
View ArticleWADAU WAMTEMBELEA BALOZI MSTAAFU MUSTAFA NYANG'ANYI WASHINGTON DC
Mkurugenzi na mmiliki wa kampuni urban and rular engineering ndugu Awadh Zuberi ,pamoja na wasaidizi wake walipomtembelea balozi mstaafu Mustafa nyang'anyi nyumbani kwake Washington, kuanzia kushoto ni...
View ArticleKINANA AHUTUBIA WAKAZI WA MPWAPWA MKOANI DODOMA
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa wilaya ya Mpwapwa kwenye uwanja wa mikutano Mnarani ambapo aliwaambia wananchi hao kuwa ahadi zilizoahidiwa na CCM zitatekelezwa kama...
View ArticleBAYPORT YAFUNGUA TAWI JIPYA KWIMBA
Hivi ndivyo ofisi mpya ya tawi la 79 la taasisi ya kifedha ya Bayport Financial Services wilayani Kwimba, mkoani Mwanza inavyoonekana kwa mbele siku lilipozinduliwa rasmi mapema wiki hii, huku mgeni...
View ArticleUCHAFU SOKO LA BUGURUNI
Wakazi wa Dar es salaam wakimenya ndizi mbovu zilizotupwa katika rundo la taka katika soko la Buguruidi jijini Dar es Salaam kwa matumizi mbada ya kutengenezea pombe mbalimbali aina ya Mbege, Lubisi na...
View ArticleBARAZA LA USHAURI SUMATRA LAZINDUA VILABU VYA WANAFUNZI
Mwenyekiti wa Baraza la Ushauri la watumiaji wa Huduma za Usafiri wa nchi Kavu na Majini (SUMATRA CCC), Ayoob Omary akizindua vilabu vya wanafunzi vya Sumatra. Kushoto ni Katibu Mtendaji wa baraza...
View ArticleLOWASSA AKITANA NA BALOZI WA UINGEREZA JIJINI DAR ES SALAAM LEO
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya nchi za Nje na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa akizungumza na Balozi wa Uingereza nchini, Dianna Melrose katika Ofisi ya Mwenyekiti huyo wa bunge...
View ArticleRAIS KIKWETE KUZINDUA STUDIO ZA KISASA ZA AZAM TV KESHO
JUMLA dola za Kimarekani Milioni 31 (zaidi ya Sh. Bilioni 56 za Tanzania) zimetumika kutengeneza studio mpya za kisasa za Azam TV, zilizopo eneo la Tabata Relini, Dar es Salaam.Hayo yamesemwa na Naibu...
View ArticleSERIKALI KUSAIDIA WAATHIRIKA WA MAFURIKO KAHAMA SHINYANGA
Dkt. Florens Turuka, Katibu Mkuu Ofisi Ya Waziri Mkuu
View ArticleRAIS KIKWETE AKUTANA NA VIONGOZI WA CHAMA CHA ALBINO TANZANIA IKULU JIJINI...
Rais Kikwete akiongea na Viongozi wa Chama Cha Albino Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi Machi 5, 2015 alipowakaribisha ili kusikiliza matatizo yao na kujadiliana nao mikakati ya...
View ArticleAJUZA ASHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA BAADA YA KUTIMIZA MIAKA 117
Ajuza raia wa japan Misao Okawa (117) akiwa na familia yake. Ajuza huyu bado yupo katika afya njema na hata msosi anaupiga kama kawaida. Ajuza raia wa japan Misao Okawa (117) leo amefanya Birthday...
View Article