RAIS JAKAYA KIKWETE AWAAPISHA WAZIRI NA MANAIBU WAZIRI IKULU DAR
Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Ummy Mwalimu, kuwa Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais, wakati wa hafla fupi ya kuwaapisha Waziri na Manaibu Waziri iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam, leo....
View ArticleMWILI WA SHEKH WA MKOA WA MARA WAWASILI UWANJA WA NDEGE MUSOMA
MKUU WA MKOA WA MARA JOHN TUPPA AKIELEKEA KWENYE NDEGE KUONGOZA WAOMBOLEZAJI RUBANI WA NDEGE AKIELEKEZA NAMNA YA KUTOA JENEZA LENYE MWILI WA MAREHEMUMwili ukishushwa katika ndege Wananchi wa mji wa...
View ArticleKAMATI YA BUNGE HESABU ZA SERIKALI ILIPOJADILI FEDHA ZA ELIMU NA KUTEMBELEA...
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Zitto Kabwe akizungumza wakati wa kikao cha kamati hiyo juzi Ofisi ndogo ya Bunge Dar es Salaam kujadili fedha za elimu hasa katika manunuzi...
View ArticleMOTO ULIPOTEKETEZA STOO YA GMC WASANII PROMOTION
Stoo ya kuhifadhia makasha ya DVD na CD katika ofisi ya GMC Wasanii Promotion iliyokiuwa katika jengo la GMC Heights Kamata jijini Dar es Salaam na kusababisha hasara ya mali na jengo. Jengo hilo la...
View ArticleDENI LA TAIFA LAFIKIA TRILIONI 27.4
Deni la Taifa linasimamiwa kwa kuzingatia Sheria ya Mikopo, Dhamana na Misaada ya mwaka 1974 kama ilivyorekebishwa mwaka 2003 na Mkakati wa Madeni wa mwaka 2002. Aidha, deni la Taifa linajumuisha deni...
View ArticleKINANA, MANGULA WAWASILI MBEYA KWA MAADHIMISHO YA MIAKA 37 YA CCM
Makamu Mwenyekiti wa CCM,Phillip Mangula akisalimiana na Mbunge wa Viti Maalum, Dk. Mary Mwanjelwa baada ya kuwasili leo asubuhi kwenye Ofisi za CCM Mkoa wa Mbeya , tayari akwa maadhimisho ya miaka 37...
View ArticleKAMPUNI YA REX ENERGY YATAMBULISHA TEKNOLOJIA MPYA YA KUHIFADHI NA KUSAMBAZA...
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya kusambaza vifaa vya umeme wa jua (solar) ya Rex Energy Bw Francis Kibhisa akizungumza na Wanahabari kutoka vyombo mbalimbali (hawapo pichani),kuhusiana na uzinduzi na...
View ArticleSHUKURANI
Nawashukuru! Ndugu, jamaa na marafiki, wazee kwa vijana. Viongozi pamoja na Serikali, kwa hali na mali, sala na ujumbe zilizotufariji mno wakati wa msiba wa Mzee George Bakari Liundi. Ahsanteni sana....
View ArticleHADIJA KOPA AITEKA MBEYA
Malkia wa Taarab nchini Bi. Hadija Kopa akiimba mbele ya umati wa watu kwenye ukumbi maarufu wa City Pub mjni Mbeya. Baadhi ya wanamuziki wa TOT Taarab wakiimba kwa hamasa wakati band hiyo ya muziki...
View ArticleManji awawakia wanaomuandama Seif Magari
Mwenyekiti wa klabu ya Yanga, Yusuf Manji amewaonya wanachama na mashabiki wa timu hiyo wanaotishia maisha Mwenyekiti wa Kamati ya mashindano ya imataifa wa klabu hiyo, Seif “Magari” Ahmed kuwa sheria...
View ArticleMUENDELEZO WA SHUGHULI ZA MIAKA 37 YA CCM MBEYA
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akishiriki ukarabati wa ngazi kwenye bustani ya jiji la Mbeya mahali ambapo Rais Jakaya Kikwete atapokea mtembezi ya mshikamano. Katibu wa NEC, Itikadi na...
View ArticlePOLISI WATANO WAFARIKI DUNIA PAPOHAPO KATIKA AJALI YA GARI MKOANI DODOMA
Na. Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma.Askari polisi watano mkoani dodoma wafariki dunia papohapo katika ajali ya gari iliyotokea 31/01/2014 majira ya 23.45 hrs katika barabara kuu ya Dodoma –...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO MKUU WA MWAKA WA JUMUIYA YA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akuhutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa mwaka wa Jumuiya ya Istiqaama, uliofanyika katika Ukumbi wa Karimjee...
View ArticleFORBES MAGAZINE REVEALS MO AND MAKAMBA JR AMONG 10 POWERFUL MEN IN AFRICA 2014
Mohammed Dewji, Tanzania, Group Chief Executive Officer of Mohammed Enterprises Tanzania Limited, Dewji is the Group Chief Executive Officer of Mohammed Enterprises Tanzania Limited (MeTL) and at 39 is...
View ArticleSUPPORT FOR MISS TANZANIA 2013 HAPPINESS WATIMANYWA
Hey guys. At Miss World, contestants usually need as much support as they can get. I would therefore like to ask for your help in spreading the word to your fellow fans, friends, family, acquaintances...
View ArticleSIMBA YAIPA KICHAPO CHA BAO 4-0 JKT OLJORO LEO
Simba imeendeleza wimbi la ubabe katika mzunguko wa pili wa ligi Kuu Soka Tanzania Bara baada ya kuifunga JKT Oljoro mabao 4-0 hadi sasa.Magoli ya simba yamefungwa na mkali anaeongoza kwa ufungaji...
View ArticleMWEMYEKITI WA CCM TAIFA, RAIS JAKAYA KIKWETE AONGOZA MATEMBEZI YA MIAKA 37 YA...
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dr. Jakaya Kikwete akiongoza matembezi ya mshikamano kutoka viwanja vya Soweto Kwenda Bustani ya Jiji jijini Mbeya huku akiwa amewashikilia watoto wakati wa...
View ArticleTCRA Yawasilisha TSHS. 1.6 Bilioni Malipo ya Kwanza Serekalini kutokana na...
Waziri wa Fedha, Saada Mkuya (katikati) na Naibu Katibu Mkuu, Elizabeth Nyambibo (kushoto) wakipokea jana Dar es Salaam, mfano wa hundi ya Sh bilioni 1.6 kutoka kwa Mkurugenzi wa Mamlaka ya...
View ArticleAirtel mimi ni Bingwa yaendelea kumwaga mamilioni kwa wateja wake
Meneja wa Huduma za Jamii wa Airtel Tanzania, Hawa Bayumi akikabidhi kitita cha shilingi milioni moja kwa mmoja kati ya washindi wa milioni moja Bw. Fadhili Musa Mbatu mkazi wa Temeke jijini Dar es...
View ArticleYANGA YAIFUNGA MBEYA CITY 1-0 YAENDELEA KUSOTA NAFASI YA PILI, AZAM YASHINDA...
Mshambuliaji machachari wa timu ya Yanga,Mrisho Ngassa (17) akichuana vikali kuwania mpira na Beki wa Timu ya Mbeya City,Deogratias Julius wakati wa mtanange wa Ligi kuu Tanzania Bara uliomalizika hivi...
View Article